Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nguvu ya HOJA,....

>> Tuesday, May 17, 2011

..... hutegemea ni nani  ni wasikiliza hiyo HOJA,....
..... kwa  kuwa HAOJA ya NGUVU kwa wasioelewa hiyo hoja  yaweza kuwa kwao ni UKICHAAA,...
.... na hoja ya kijinga laini  tu kwa wasioielewa HOJA wasikilizaji au waisomao  yaweza kudhaniwa ni HEKIMA na walio wajinga kidogo  zaidi ya ujinga wa hiyo HOJA:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,....
... nguvu ya kitu kwa wenye nguvu ,...
.... labda haina nguvu sana kama NGUVU ya KITU kwa waliodhaifu kinguvu,...
..... kitu kifanyacho HOJA ya NGUVU labda haina kungu sawa kwa kila msikiliza HOJA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu BALOJI aanzishe upya kwa - Le jour d'apres/ Siku ya baadaye



FEMI KUTI arudie-Tell ME




Au tu hebu FEMI KUTI na MOS DEF warudie tu na -DO YOUR BEST


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP