Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Habari usizohitaji KUZIJUA,...

>> Saturday, April 30, 2011

... inawezekana ndio HABARI zijaazo MAGAZETINI , radioni na kwenye LITIVII lako MKUU!



Swali:
  • SI inajulikana MAISHANI labda ni machache sana uyahitajiyo ili UISHI ndiyo yapewayo KIPAUMBELE na vyombo vya HABARI?
  • Kwani unakumbuka mangapi uliyojifunza kwenye HABARI ni kweli yamekuwa na mchango muhimu sana ambao usingeweza KUISHI bila kuyafahamu HAYO?


Ndio,...
.....DUNIA na WANADAMu walikuwepo MIAKA mingi kabla ya VYOMBO vya habari ,...
... kuingilia shughuli ya KUBREINIWOSHI  watu kuwa kitu kikiwa kwenye TAARIFA zao za HABARI ni muhimu na labda ni ujanja kukijua!:-(


Ndio,...
.... kama cha MUHIMU kwako ni MAGIMBI kwa MBIRIMBI ambavyo TAARIFA za HABARI huziruka,...
.... si labda stori za vita za akina GADDAFI au tu zile za Prinsi William amuoa KATE katika maisha yako si hazikusaidii kitu?


Ndio,....
....labda katika SIKU nzima ,....
.... vifikiwavyo ni HABARI,...
... sio HABARI muhimu kama zidhaniwavyo!



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA lenye udhaifu fulanifulani tu  ila SASA mie NIFANYEJE!:-(


Hebu tu badili wazo kwa kusikiliza ndude kutoka kwa Sandra Nkake ile- Happy





Au tu tugewe pia

-Jazz Fusion Cantelope Island



1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 1:39 am  

Mara nyingi habari hizo ni sawa tu na dawa ya kulevya kiasi kwamba ninavyoamini mimi watu ni wengi waliyeangusha magari yao kwa kuwahi taarifa ya habari nyumbani. Lakini ni ujinga tu... ujinga mtupu!


WACHA NIKUNUKUU PALE PATAMU ZAIDI: “.....DUNIA na WANADAMu walikuwepo MIAKA mingi kabla ya VYOMBO vya habari ,...”

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP