Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I. P . ADAM LUSEKELO!:-(

>> Saturday, April 02, 2011
Katika waaandishi  na MABLOGA wa BONGO ambao tokea enzi FULANI za ENZI zangu walininasa ni:
....ADAM LUSEKELO!Rest in Peace BROTHER!

Habari hii nimesita sana hasa kwa kuwa ilinifikia katika tarehe 01.04. ijulikanayo kama siku ya WAJINGA.

Na mpaka sasa hivi ni watu kadhaa niwaaminio wasititizao kuwa ni KWELi na  sio MZAHA hii habari ,...
......
...kwa MARA nyingine,...
...Rest in PEACE  Adam L. Mwakang'ata!
Habari nyingine kuhusu hii habari pata  HUKU

AHUKU


...hata HAPA

... ambako kuna waliodaka habari na kuiamini nakuianika mapema zaidi wakati mie bado SIAMINI kitu hii.:-(


Kwa kumbukumbu angalau ya BLOGU YAKE  mtembelee kwenye iliyokuwa BLUGU yake HAPA
I still want to BELIEVE this is not TRUE!:-(
Habari zaidi:

By DAILY NEWS Reporter, 1st April 2011

SEASONED and veteran journalist, Adam Lusekelo (54) passed away while being rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) on Thursday night, his wife Scolastica Lusekelo, said. Ms Lusekelo said the deceased’s health deteriorated on Thursday night when relatives rushed him to MNH.

“He didn’t even reach the hospital, he breathed his last on the way at around 11pm,” Ms Lusekelo said. The 'Sunday News' columnist has been battling diabetes for a long time and was surviving on medication.

“Oh, no! We have lost a 'Sunday News' readers’ favourite,” lamented the newspaper’s Editor, Ichikaeli Maro upon receiving news of Mr Lusekelo’s death. His column, a unique blend of writing serious issues of national importance with a soft touch, won many hearts and souls.

“My husband will miss him badly, he was his favourite columnist,” said Joyce Sabuni, Tanzania Standard Newspapers employee in the circulation section.

TSN Acting Managing Editor, Mkumbwa Ally also mourned the death of one of journalism’s most gifted writers.

Burial arrangements are being made at his home at Ubungo Maziwa, but the body is likely to be transported to his home region of Rungwe in Mbeya, his wife said. The late Lusekelo is survived by a wife and three children, two daughters and a son.

He worked with TSN briefly in the 1980s before joining BBC as a correspondent based in Dar es Salaam.

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:18 am  

pumzika kwa amani Kaka Adamu!

emu-three 11:33 am  

R.I.P Adam Lesekelo, mkuu sana ameondoka, alikuwa jemedari....!

EDNA 11:43 am  

Mungu ailaze roho ya marehemu Adam mahala pema peponi.

Mzee wa Changamoto 2:08 pm  

Naaam...Ulifanya kazi yako, sasa kapumzike kwa amani

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP