Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna maisha ya NENO yaishiyo kwenye MANENO!

>> Monday, April 25, 2011
Na katika MANENO ,...
.... labda kuna neno ambalo utastukia halina maana likikaa peke yake kama NENO bila kuchanganywa kwenye mengine MANENO!

Swali:
  • AU?
Ndio,...
... kuna NENO umuhimu wake ukikugusa kumbuka ,...
... labda lilikuwa katikati ya MANENO.:-(
NI wazo tu hili ambalo nalo ni neno tu MHESHIMIWA!:-(


Hebu SAM MANGWANA abadili kwa - Maria TebboSam Mangwana atoneshe zaidi kitundu kwa kumuongelea mtoto mzuri kutoka Afrika Mashariki- KABIBI

Nipo na tupo hata kipicha kiduchu......
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 6:43 am  

Kwenye Picha nazo, zile hasa za msosi a.k.a chakulafood. Kuna maisha ya NENO. NIISHIVYO.

SIMON KITURURU 9:33 am  

@Rasta Mcharia: Si utani neno kuna wahusika kichakula walisaidia watu kula aisee!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP