Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama MATATIZO yakitafsiri maana ya MAISHA kwa MTU,....

>> Wednesday, April 20, 2011

..... matatizo HAYO  yakitatuliwa MTU anaweza kujikuta anaishi MAISHA yasiyoleta tena MAANA!:-(Swali:
  • AU?
Ndio,...
... kunauwezekano MATATIZO na kuhangaikanayo hayo MATATIZO,....
.....ndio kifanyacho kuna MAISHA ya mtu yana maana fulani na anaisubiria kesho kwa hamu kwa kuwa angalau kuna lakufanya  lenye MAANA maishani.:-(


Ni wazo tu hili MKUU!:-(
Tupate jazz kidogo kutoka kwa Dexter Gordon akimwaga kitu-TanyaAu tu hebu tu  Miles Davis na John Coltrane warudie - So What

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:44 am  

SI UTANI:-(

. 3:32 pm  
This comment has been removed by the author.
SIMON KITURURU 6:09 am  

@Yasinta: :-(

Na kwa aliyeondoa komenti yake: Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP