Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ili YULE MWINGINE mwenye tako SPONJI aonekane ni MTU MZURI ZAIDI kuliko WEWE au yule mwenye MATEGE !:-(

>> Saturday, April 23, 2011


Ndio,...
.... labda MIMI ni mtu MBAYA kuliko YULE,...
....labda!:-(Swali:
  • Si ili  WENGINE waonekane ni WATU WAZURI - si inabidi LABDA sie WENGINE itabidi tuonekane TU hata kishingo upande kuwa ndio WABAYA hasa kwa kuwa  HATA WEWE unafikiria tu SIE ndio  wabaya?:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Dj MATAKO kutoka ANGOLA arudie tena HOUSE muziki katika jitihada ya kutubadilisha wazo hilo hapo juu NYOKO kwa NDUDEZ kutoka ANGOLA.....Au tu tujifunze zaidi kuhusu BENDI fulani mwanana iitwayo  STEEL PULSE kama asemavyo  aipaye sauti uniki kwenye kipaza sauti David HINDS asemavyo...
 David Hinds aanze kutuliza mtuno kwa -State of EmergencyAu tu arudie Biblia tena kwa -This version is NOT KING JAMES' version
Kabla ya DAVID HINDS  kutuliza MBINYO kwa kubinya zaidi ndude iliyotuna kibiblia kwa- Chant a PsalmHalafu wanajeshi waongelewe tu labda kwa -Soldiers...

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 5:48 am  

Ngoja kwanza hasa ninavyofikiria "Ili YULE MWINGINE mwenye tako SPONJI aonekane ni MTU MZURI ZAIDI kuliko WEWE au yule mwenye MATEGE".

"Kuna kitu kinamfanya aonekane ni mzuri kwa BAADHI watakao msitukia labda kwa sababu ya MAPENGO yanayoonwa kama ni MWANYA kidizaini...!:-("

Ni yeye alie "KaTuNi" kumbe ameshikilia picha ukutani.

SIMON KITURURU 5:50 am  

@Rasta Mcharia: Duh!

Mcharia 6:21 am  

Mmmmh.

Yasinta Ngonyani 8:23 am  

Kaaazi kwelikweli!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP