Kwa waaminio PASAKA,.....
>> Friday, April 22, 2011
.... nawatakia KHERI YA kitu hiyo bomba ,...
....nikimaanisha,...
....PASAKA NJEMA sana tu WADAU!
Nahisi ni hilo tu MDAU!
AU ,...
Nje kidogo ya SALAMU ingawa bado ni PASAKA ,...
.... somo KIDOGO lililopinda kwa ung'eng'e:
-A fart is a combination of gases (nitrogen, carbon dioxide, oxygen, methane, and hydrogen sulfide) that travels from a person’s stomach to their anus.
Na sasa baada ya somo labda hebu TU salamu zisindikizwe na Beats Antique katika - Sky Talk
Au tu Steel Pulse waingilie kati tu kwa-Jah Pickney aka Mtoto wa MUNGU
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Na kwako pia.
@Mkuu M.W.M: Asante ingawa sina uhakika naamini sana tarehe wala kitu! Unajua tena maswala ya IMANI tena !:-(
Post a Comment