LEO katika KISWANGLISH: Maybe hakuna MTU open MINDED aisee !
>> Thursday, April 21, 2011
Tahadhari: Leo ni siku ya kuunga MKONO viongozi wa TANZANIA ambao kiswahili chao ni bonge la KISWANGILISH!
Wakati tunawaunga mkono kwa kuongoza pia kwa matumizi yao ya lugha mbaya tudeku hoja:
Utamaduni,...
... MAKUZI yako mtu,...
...IMANI,...
........ mpaka ELIMU ,...
.... taka usitake ,...
.... ni moja ya vitu kinamna VINAFUNGA mtu na kuathiri MTU anavyotafsiri MAMBO!:-(
Yani KIAINA ,...
....it is very SAD kichizi aisee!:-(
Swali:
- UNabisha?
Meibi it is vere truu PIA aisee kuwa ,...
.... kama WEWE is a CHRISTIAN or MUISLAM, umekulia AFRIKA au ULAYA, ulidekezwa au ulikuwa una onewa SHULENI na kukong'otwa vilivyo na wazazi nyumbani, umesomea MZUMBE au Dar es Salaam UNIVERSITY , kwenu ze money fulu viburungutu au ze POOR vere machi kipovati,....... aisee yote hayo yana SHEPU ur MIND kiaina,...
....kitu kifanyacho LABDA hata ukidai kuwa wewe ni VERE open MINDED labda hilo sio ahundred percent TRUE aiseee!
Question:
- Si maybe una Prejudice ingawa hujistukii hasa wakati unafikiria kuwa weye ni Open Minded?
Jinsi unavyoTHINK ,....
.....labda ni kitu kipya LAKINI,....
... ingawa UFIKIRIACHO labda kishawahi KUFIKIRIWA na WENGINE!:-(Ndio,...
... labda hakuna JIPYA duniani,...
.... ingawa labda JINSI UFIKIRIAVYO hicho cha zamani kilichowahi kuwazwa na wengine,...
.... ni kitu KIPYA angalau hata kistaili!:-(
Na jipya laweza kuwa hata pia NI kustukia kwako tu SASA HIVI kuwa,...
.... hakuna mtu open MINDED ,...
....kitu kiwezacho kufanya labda kila mtu akushauriye kitu kaathiriwa nayaliyomkuta YEYE kitu kifanyacho labda kila akushauriye IS WRONG aisee na ashauricho kina mtazamo ambao sio VERY NEW ukilinganisha na yakukumbayo ambayo yanaweza kuwa ni mapya kama tu UKIMWI ulivyowahi kuwa MPYA kwa watu DUNIANI baada ya NYANI kuuzoea!:-(Swali:
- Lakini kama hakuna kitu kipya hapa DUNIANI si ina maana hata UKIMWI wala haukuwa mpya wakati mpya kwa kuwa labda haukustukiwa tu bado na wajanja walikuwa washakaba kwa sana tu WACHAWI?
- Kwani kitu kipya upya wake ni kwasababu kimestukiwa juzijuzi?
Ni wazo tu hili KISWANGLISH Mkuu!:-(
Siku NJEMA!
Hebu twende Angola tukakutane na Dj MATAKO kazini...
AU tu tukatikiwe tena kidogo tena ....
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
:))
Kilichokufanya uandike haya uliyoandika, hivi ulivyoandika na kwa watu uliowaandikia ni kwa kuwa UNA CLOSED MIND.
Ungekuwa OPEN MINDED usingeandika hivi. Labda uliandika ku-prove kwamba hakuna aliye open minded ndio maana ukatumia open mind hiyo kui-close ili uonekane hauko nayo.
Basi "labda hakuna asiye open minded anayeweza kujua asiye open minded"
Kwa maana nyingine NI LAZIMA UWE ULIVYO ILI USIWE ULIVYO?
Kama hujaelewa basi ujue kuwa hauko open minded
@Mkuu Malkiory+Rasta Mubelwa: :-)
Kweli mkuu hii ni `issue'...unaona hata mimi nimetumia kiswahili-engilish, kwa msisitizo, au kwa kutokujiamini.
Mkuu mimi nilikuwa nawaza sana hili, kuwa ina maana `kiswahili' hakitoshelezi maneno yake, au `ni kutokujiamini' mpaka tuchanganye, au ndio `kuonekana' `tunajua hata kiingereza.
MIMI THISEMI ZAIDI
Post a Comment