Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA kunywa POMBE kama wewe ni MTANZANIA,......

>> Monday, April 18, 2011

 .....kwa kuwa LABDA angalau POMBE inauhakika UKIINYWA,...
....kiuhakika UTALEWA TU hata ukiwa TANZANIA na wewe  ni MTANZANIA!:-(




Swali:

  •  Kwani ni NI nini kinauhakika kwenye mipekecho TANZANIA ukifikiria kiaina?
  • SI unajua uwe MZANZIBARI au tu MTANGANYIKA ukinywa gongo ya KITANZANIA  kwa uhakika bado UTALEWA?:-(
  • Si unajua POMBE angalau ni JAMBO  moja TANZANIA kama wewe ni MTANZANIA  kwa TANZANIA angalau hilo lina uhakika ambao unajua UKINYWA  POMBE  kikufanya  angalau utalewa?
  • Kwani ni  nini kingine  cha KITANZANIA kifananacho na siasa au tu ratiba ya mabasi hata ya kwenda  KIGOMA  kina UHAKIKA bongo/TANZANIA?

Ndio,...
....tushukuru kuna ANGALAU  mpaka  WATANZANIA wadaio TANZANIA kuna AMANI ,...





... na ukiwadadisi HAO ,...
... utastukia wana UHAKIKA na HILO  aisee!:-(

Ndio,..
... hili ni wazo tu MHESHIMIWA  mwenye uhakika NA USIKONDE!:-(

Hebu FELA KUTI abadili kidogo kidongoloso kwa -Look and Laugh



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP