Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAMA ukimnusa sasa hivi MPENZI!

>> Tuesday, April 19, 2011

Labda bado inategemea UNAMNUSA wapi,...
.....HASA ,....
...kama NIA ni hutaki kustukia  harufu mbaya!
Swali:
  • SI nasikia MTU anukiaye vizuri bado kuna sehemu tu  kama unajua kunusa vizuri  hanukii pilau?
  • Kama kuna wanukiao UTU uzuri ukinusa vizuri- kwani UTASHANGAA kama UTUutu wao mwanana wao ni mavi hata kiharufu?Ndio,...
......labda yeyote MSAFI,...
.... ukimchunguza sana utastukia tu labda sio kila eneo ni MSAFI sawasawa hata bila kumbinya pua!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu CHIZI aanzishe vita tena UPYA kwa -SaidaAu tu CHIZI amalizie tu kwa -Waache waseme

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:46 am  

Lakini huwezi kujua kipenda roho hula nyama mbichi....hata kikinuka kwa wengine ni kunukia tu.....

Goodman Manyanya Phiri 9:27 am  

Kwa mtu yeyote yule, ukiyatafuta mabaya yake lazima utayapata.

Mazuri pia hivyohivyo.

Hata hivyo sidhani mtu anaetoka kuoga sasa hivi, na kupiga mswaki atakuwa na harufu mbaya popote pale mwilini wake. Atapata wapi kama kaoga mwili mzima?


Labda nataka kusahau ushuzi! Lakini kwa kawaida, kama ninavyomuelewa NaNgonyani, mpenzi hatowi ushuzi kabisa, kwani yeye ni malaika!

SIMON KITURURU 6:14 am  

@Da Yasinta Mmmmh!
@Mkuu Gooodman : :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP