Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ngojea watengwe kidogo WAPAGANI wakati ALLAH na YESU wanasifiwa aka WANAFAGILIWA!:-(

>> Sunday, April 10, 2011

Ndio,...
....hapa watengwao ni mpaka wamuaminio BUDDHA ,...

.....WAJAPANI na SHINTO,....
....waaminio  MBUYU,...
... au  LABDA mpaka hata mpaka waaminio KIKOMBE cha BABU wa LOLIONDO,...
.....na wengine wote ambao wajanja wawahisio kiimani wamekosea katika KUAMINI    kama madhumuni  KIIMANI ni kwenda mbinguni,.....


....au  hebu tugewe NDUDE na Zain Bhikha katika ndude    -Give Thanks to Allah
Au tu Yusto Onesmo aingilie kati kwa kudai-YESU ni MUWEZAJUMAPILI njema  NGULI!:-(
Na nakutakia kila la kheri katika KUPAPASA kitu MAISHANI leo MKUU!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 1:45 pm  

Jumapili njema Simon

Yasinta Ngonyani 6:12 pm  

Jumapili njema Kaka Simon. Picha hii nimeipenda sana:-) inaonekana ulikuwa bado kadoda kadoda:-) na ugimbi pembeni ....naacha

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP