Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwanini BINADAMU huwa wanapigana?

>> Wednesday, April 13, 2011

Kila siku na labda KILA DAKIKA tokea MDAU uzaliwe,....

......kumbuka kuna watu walikuwa wanapigana sehemu KITAIFA, kishoga , KIMWIZI afunzwe adabu au hata kimume na MKE ambavyo  mara nyingi ni kimadai MKE afunzwe adabu !:-(

Swali :

  • SI unajua moja ya HABARI redio na TV ziripotizo kila siku ni kuhusu mapigano ya watu fulani?

Inasemekana BINADAMU hutafuta sababu yoyote ile ili kubwenga mtu,...
....: KWANINI?


NI wazo tu hili!


Hebu Denise Belfon abadili kwa - Dingolay


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:29 pm  

Labda kwa vile wako katika mawazo tofauti...hizi ni wazo langu...

Rachel Siwa 11:10 pm  

Mmmhhh labda Ubabe,Umaarufu,Tabia na Malezi tofauti.....nimejaribu kuwaza!.

Mija Shija Sayi 11:53 pm  

Ubinafsi, mtu/watu kujipenda au kujiona bora zaidi ya wengine..

Goodman Manyanya Phiri 2:08 pm  

Katika vyumbe vyote vya Mungu ni binadamu na panya peke yao wanaojulikana kwa kuanzisha kila mara mashambulizi na mauaji kwa ndugu (FELLOW SPECIES) zao.

Maana yake ni kwamba sisi ni binamu yake panya. Tuache leo hii kujigamba na kujiona eti sisi vyumbe bora kwa Mungu kuliko mfano nzi, funza au mjusi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP