Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Watoto wa Abrahamu (Waislamu ,WAYAHUDI na Wakristo) katika -Reuniting the Children of Abraham

>> Friday, April 01, 2011

Inasemekana KUTOFAHAMU KITU aka kutokuwa na KNOWLEDGE ya kitu ,....

....ndio moja ya NDUDE ifanyayo Waislamu na Wayahudi/Wakristo na Waislamu /Wayahudi na Wakristo wanabwengana aka wanapeana mkong'oto na fulu kuchukiana aisee!:-(
Wakati kuna fununu UDINI hasa wa WAKRISTO na WAISLAMU unachokochoko zake ambazo zina chokochoko zake TANZANIA,....
.... deku hii DOCU. kama unamuda,.........
... ifuatiliayo Wajaribuo kitu kujaribu kulainisha kitu kwa KUUNGANISHA vijana kwa KUWAFAHAMISHA kitu ,.....

....katika -The Children of Abraham Project


Kitu DINI na IMANI na mavituz yake yana noma zake na si rahisi sana kwa watu kuelewana hasa ukizingatia wanaongozwa zaidi na IMANI ambayo inamchezo wa kutoruhusu KNOWLEDGE kufurukuta.


Lakini,...
.... nikiona ndude kama DOCUMENTARY hii NAFARIJIKA kuwa angalau kuna WATU ambao BADO hawajakata tamaa na wanajaribu KUELEWANA ingawa DINI zao zinasuguana katika kugombania roho za MTUZ!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP