Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ikibidi,....

>> Friday, April 15, 2011

......FANYA!

Swali:
  • SI kama ilibidi  mtu AFANYAYE huwa anakuwa na kisingizio kizuri kwa nini ALIFANYA?


Ingawa,..
... kama inawezekana,.....
.......FANYA,....
.... kwa kuwa ukisubiri mpaka IBIDI ili  ndio UFANYE,.....
...... inaweza kuwa kitu iko TAITI  KIUGUMU wa kutanua uwezekano ,....
....  na haiwezekani!:-(


Swali:
  • AU?
  • Kwani wewe ni wale waaminio hakuna kisichowezekana?

Ni wazo tu hili NJOMBA!:-(


Hebu tena Denise Belfon aanzishe vita mpya tena  kwa mie mwenzio kwa kuwa ilikuwa tamu - nataka tena -Licks



Denise Belfon aendeleze vita kwa - Bicycle Wine



Denise Belfon awekesawa mdinyo kwa - Rude Gyal Anthem




AU Denise Belfon azibue tu tena ndude  kwa - Dingolay



6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:53 pm  

Hakika HAKUNA KICHOWEZEKANA!!

Upepo Mwanana 10:16 pm  

Dah!

Unknown 12:36 am  

YaP!

Simon Kitururu 11:25 am  

@Mrembo Yasinta: Unauhakika? Mbona kuna kitu mie kinanishinda? DUH! Ghafla umenipa nguvu mpya ya uvumilivu na kutaka tena!

@Upepo Mwanana: DUH!Asante kwa kupitia hapa tena kwa kuwa kwa muda sikukuona mitaaa hiii!

@Mkuu Mcharia: Tuko Pamoja na kiwanjani kwako(bloguyo) mpaka nahisi nakaa sana!

Asante kwa Sapoti Mkuu!:-(

Unknown 6:37 pm  

Usijali.

Simon Kitururu 7:14 pm  

@Mkuu Rasta Mcharia: Asante sana Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP