Profesa J. MBELE anatuletea Watanzania MATATIZO kinyoko yani!!
>> Sunday, April 24, 2011
Hiyo ni hoja iliyo mtoka MDAU ,...
....wakati anaendelea kudai Prof. Mbele watoto wake mpaka wajukuu zake wanabahati kuwa na mtu huyo kwenye familia ambaye KITANZANIA mpaka ana blogu katika umri wake ni jambo ambalo sio la kawaida kwa kuwa Watanzania wenye umri fulani huwa fulu kukwepa tekinolojia hizi ,...
... ndio maaana labda kuna vijana wataendelea kuharibika kama wewe SImon Kitururu kwakuwa wenye hekima hawakufikii pale ambapo wakisema labda watasikilizwa.
:-(
Na sikumbishia!:-(
Na akaendelea kudai,...
....tatizo la Profesa MBELE ni kwamba anamekisensi sana mpaka nyoko yani!:-(
Ndio,...
....hiyo ni nukuu pia iliyoendelea na ni mie NI chanzo tu cha topiki kisa namtembeletembelea sana huyu PROF.
Tahadhari : Posti nzima mie nimenukuu TU jamaa ambaye Profesa Mbele anadai kila akimsoma anamfanya aende kunywa pombe kwa kuhisi aongeleayo ni kama Prof. anamsuta vile!:-(
Hebu tu basi Etana aingilie kati ili abadili wazo kwa -Mockingbird
8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Na ili kuonesha kuwa Dhamira na msisitizo anaoutoa Prof Mbele kwa Mbele unafanyiwa kazi naongezea wazo lisilo Nyoko kwa kuonesha umuhimu wa kile anachosisitiza mara nyingi.
Je hapa ukipita si kwamba utakuwa umepotea njia za uswazi inayoingia sebuleni kwa mtu kumbe ndio hutumiwa na wakazi wa eneo hilo ili kufika makwao uswahilini unapotokea upande wa pili.
Basi kama MUNGU ametuletea "Profesa J. MBELE anayetuletea Watanzania MATATIZO kinyoko yani!!" matatizo mwisho wake huwa ni mafanikio BABAAKE.
Kama vipi ona ninavyosisitiza hapa: http://www.swahilitruth.com/
@RASTA Mcharia: Duh
Mcharia...utaua bendi :-(
Mt. Simoni, yaweza kuwa hoja japo zaonekana kinyoko zaweza kuwa za kishaknaku kinoma na utajastukia dili kumbe ulipaswa kuwa mshaknaku ili kupata ujumbe teh teh!
@Kadinali CHacha: :-)
Kaazi kwelikweli...
hahahahaha kazi ipo
Si vibaya nami nikaongezea kwa kusema Profesa ni hazina ya kinyoko sana!Mungu azidi kumpa pumzi na maarifa na nguvu ya kuyagawa maarifa hayo
@Wote: Mmmmh!
Post a Comment