Katika JICHO LA anayebakwa!
>> Monday, April 25, 2011
Inawezekana wakati huo anabakwa moja ya asichokiona NI huko KUBAKWA,...
.... ingawa maumivu YAMVURUGO WA SEHEMU ZA SIRI anasikia!
Na visikilizwavyo labda KWA JICHO hata kisaikolojia vyote huwa havionekani hata kama wakati vinabakwa,...
.....kitu kifanyacho kuna ushahidi wa KWELI kuwa kuna kilichotendeka KWENYE SEHEMU ZA SIRI hata kama kwa JICHO hakikuonekana kikitendeka na kimebakia KISIMULIZI kwa wengine ni TU cha kusikia!Swali:
- Hivi unafikiri ni mangapi ambayo JICHO halioni kwa nyuma kwa kuwa tu MACHO yako kwa mbele ya mtu wakati tukio limuhusulo mtu LAWEZA KUWA liko nyuma yake tu mtu ambako hakuna macho ila kuna bonge la tako?
Ndio,...
.... labda hata kwenye jicho la ambaye habakwi,....
.... labda kunayaliyomtokea ambayo JICHONI wakati sio kipofu hayakuonekana!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Saul Williams katika kubadili wazo arudie-Gypsy GIRL
Au tu hebu Mah Kouyate arudie tu mdinyo - Folo
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Jicho ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuona. Ni ogani inayotambua mwanga na kutuma habari zake kwa ubongo.
kuna mahali umetumia neno Ku-Bakwa:
BAKWA: ni wilaya katika Mkoa wa Farah , Afghanistan Idadi yake, ambayo ni kabisa Pashtun , ilikadiriwa 79,529 Novemba 2004.
Katikati ya wilaya ni Sultani Bakwa . Hiyo iko katika mwinuko wa mita 726. (Usicheke!!)
NILIKUWA NACHOKOZA WAZO ANZILISHI JIPYA.
@Rasta Mcharia: DUH!
Post a Comment