Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda usiogope wa kitu MWANZO!

>> Monday, April 25, 2011

......kwa kuwa CHENYE MWANZO,.....
....inasemekana kina mchezo wa kuwa na MWISHO.:-(

Na kama umeanza na uko MWANZO,...
.... kama kuna maumivu kumbuka tu kuwa tamutamu labda haiko MWANZO na inawezekana hata kama unachekwa sasa hivi,...
......kunauwezekano mchekaji kijemedari atakuwa ni wewe MWISHO!:-(


Ni hilo tu MHESHIMIWA na hili ni wazo tu MKUU!:-(


Hebu Brenda Fassie adinye - Vulindlela

Au tu hebu Kool & the Gang wabonyezebonyeze nao embedodo kwa - Get Down On It


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP