Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MTOTO MZURI anajiandaa kutoka nje ya NYUMBA nusu uchi!

>> Thursday, April 28, 2011

Inawezekana ni WAFIKIRIAO UCHI  kwa kuwa  MTOTO MZURI hasa WA KIKE  kavaa KIMINI  cha KIMINI ,...
....hata kama HICHO ni kirefu  kidogo kuliko KIBWAYA ambacho ndicho vazi la KIAFRIKA kiutafiti wa wengi maeneo fulani AFRIKA ,....

......ndio wamuonao  UCHI KIMWANA HUYO  hata kama  labda kwa watokeao kwenye MILA ZA KUCHEZA SINDIMBA ambapo WACHEZA SINDIMBA huvaa mavazi asili ya KUCHEZEA sindimba hayuko UCHI HUYO ,...


............................

... Au tu hata tu ki,....
...SISI ambao UCHI sio CHUPI au PAJA kutokana na mila zetu za KIAFRIKA,...


...au hata WALE watu wa TARIME wajuao mila za TARIME  kama WAMASAI  wanaume  ambao kimila CHUPI ni kitu cha kigeni kama kwa WAPARE TU ,...
....labda hayuko huyo MTOTO mzuri  UCHI Tanzania kama MTANZANIA anajua mila zake!:-(




Swali:

  • SI inasemekana ANAYEWAZA  UCHI ataona UCHI kama awazaye chakula iwezekanavyo ndiye aunganishye kila VILIKAVYO  kwa BINADAMU labda hivyo ni chakula wakati wasio na njaa wanaweza kusukia hivyohivyo  MKEKA hata kimawazo kwa kuwa kwao hivyo sio VYAKULA?
  • SI inasemekana  WATU kwa kawaida huona WANAVYOFIKIRIA na ndio MAANA katika barabara SIO KILA MTU huona shilingi  iliodondoshwa BARABARANI ingawa kuna uwajuao WAOKOTAO SHILINGI  katika BARABARA ileile uliyoipita iliyodondoshwa na walio TANGULIA walio KUPITA ?
  •  Hivi nusu UCHI na UCHI ni kitu kile kile?-  kwa kuwa si labda yoyote ALIYEVAA nguo hata kama unaona PAJA  lote na kutokea juu mpaka kitovu ila bado  UCHI NI UCHI na kama hujaona uchi LABDA  hakuna aliye uchi?

  • Kwani Uchi ni sketi fupi au sehemu za siri ziwezeshazo watu kutengeneza MTOTO wakizigusanisha kimuingiliano?
Ndio,...
... inasemekana wawazao UCHI hata kama ni WAHESHIMIWA,...
... ndio wastukiao kirahisi  UCHI kwa kuwa wakati wanastukia  UCHI  labda walikuwa wanawaza UCHI!:-(


Swali:
  • Si unajua ni RUKSA kunibishia?
Ingawa NASIKIA wahisio WENGINE  kuwa wako UCHI ,...

....ambao ukiwaulizia ramani ya uchi wa wafikiriao HAO walikuwa UCHI  wanajua kuwa hata kisilaha za KIZIBO cha kipengele hata kama hiyo SILAHA  ni CHUPI  hawakuona kitu zaidi ya HISIA ZAO  walizotumia kuhisi waliona hata kwenye KIZIBO wakati kuna  sketi  fupi,...


.....na  HUWA WANAJUA WAHESHIMIWA ambao ni walalamikaji sana HAWAKUONA EMBEDODO kwa kuwa wao NAO KATIKA MIILI YAO  ni wenye MENGI yatunzwayo kwenye  UCHI kuanzia ustaarabu mpaka starehe ndogondogo,....


... kitu ambacho hata kama WENGINE wanaachia mwanzo wa PAJA au tu karibu tu na chini ya kitovu kwenye KIBOXI manyoya,....

...inajulikana nao WAKILALAMIKA mara nyingi  bado UKWELI UKO PALE PALE  kuwa hawakuona GOLOLI kwenye BELINGI,...
... au kwa lugha ya KISANIFU KIJIWENI ,...

...hao hawakuona kitu hao hata angalau  mkenuo wa bonge la NDUDE ,...


...ila KIHESHIMA kwa kuwa WANAHISI KITU na kwa kuwa mara nyingi HADHARANI kuna kufaidika kwa KUSEMA KITU,...
.....lazima ni WAKALI  kwa kuwa hata kwenye SKETI wao tayari kwa kujihami WANAFIKIRI kiheshimiwa  CHAKUJIFUNZIA UKUBWANI ,....
.....wameona UCHI ukiwadadisi kwa juujuu ingawa kiundani WANAKEMEA kwa kuwa wanahisi wawasikilizao WANAHESHIMU mtindo wa mkemeo wao!:-(




Ni wazo tu hili  MHESHIMIWA na nimeliacha ,....
....na halikufanyiwa UTAFITI wa kitaaalamu MHESHIMIWA na samahani MHESHIMIWA ambaye paja KIDOGO au hata kuona CHUPI KWA MBALI TU  unafikiri CHUPI ni UCHI wakati labda UCHI ni ule chini ya KIFICHA NYETI/CHUPI!:-(




Na wakati tunabadili HOJA hii nyoko ,....


NDIO....
....nilikutana na Bobby McFerrin katika pitapita mpaka nikajikuta napata kazi zake live siku fulani zilizotuna hivi karibuni .....


.... baadhi za picha za siku migongano ilipotokea  ni  .....









Kwa waliomsahau Bobby McFerrin hebu adinye-DON'T WORRY be happy!:-(




Bobby McFerrin aongele wakati mie na wengine tuna kifikira - Thinkin' About Your Body



Adinye-Ave Maria




Au tu Bobby a-Drive

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 3:35 am  

Yote inategemea CONTEXT na CIRCUMSTANCES...yaani ile hali inayesababisha msichana awe "uchi" au la.


Kwa mfano, huwezi kuvaa mavazi ya kuogelea Kunduchi ukiwa ofisini kwako... utafukuzwa kazi bure (na ukivaa za ofisini huko BEACH utaonekana mshamba).


Kiafrika nakubaliana nawe 100 PER CENT. Lakini nayo ilitegemea hapo zamani umri wa mwanamke na hali halisi. Kwa mfano, leo Kizungu kunambo ya STRIP-TEASE pale ambapo wanamama wanatembezwa uchi au nusu uchi.


Hata Wazulu walikuwa nayo STRIP-TEASE zamani za kale kabla ya Mzungu. Wavulana wenye umri ya kuwoa walikuwa na uhuru kabisa ya kumwomba binti ajionyeshe uzuri wa "nusu-uchi" wake kwa ombi hili: "AKE USHIKILE, NTOMBI!"

Yaani "Tuonyeshe kidogo uzuri wa matako yako, Binti tafadhali!"


Naye msichana alifurahia sana kuwaridhisha wavulana huenda mmoja katika ya hao wavulana akavutiwa kiasi cha kuwa bwana yake kesho! (Lakini msichana angeonekana mhuni akiwa bila kuombwa anatembea daima na mali zote za Mungu waziwazi).

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP