Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo ni siku MPYA!

>> Tuesday, April 05, 2011

Na inaruhusiwa LABDA ,...
.....kuifanya leo kuwa ni SIKU  ya kuanza UPYA!

Swali:
  • AU?

Ni wazo tu HILI ,....
.....hasa kama ni mtu wa KUJARIBU TENA  kama jambo safari iliyopita LILISHINDIKANA!:-(

Ni hilo tu MHESHIMIWA na kama utajaribu kuanza upya kitu kama MIMI ,....
... nakutakia MAFANIKIO!

TUKO PAMOJA!

Sikiliza Nick Vujicic ambaye kazaliwa bila MIGUU na mikono aongelee kitu katika-I Love Living Life. I am Happy.





Baada ya kupata hilo tuanze naye upya Nick Vujicic katika MAHUBIRI,...
...... yana UKRISTO UKRISTO kimuegemeo kwa hiyo kama unamchezo wakutotekenywa na ndude zenye mrengo wa KIKRISTOKRISTO jua hilo kabisa kabla hujakwazika ingawa naamini  utajifunza kitu ukimsikiliza katika :


-Life Without Limbs



Kama mtu mmoja alivyowahi kusema kuhusu ndude hii:
This has a heavily Christian dressing, and that's not the flavour I like on my salad, but its core points are deeply meaningful and full of truth, no matter what religion or no-religion you happen to practice.

1.





2.






3.






4.


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:43 am  

Kuanza upya si mbaya hasa kwa waliopotena AU KUTOWASILIANA kwa muda.

emu-three 7:50 am  

Ukijaribu kitu ukashindwa ukarudia tena na tena, unakijua zaidi...na huenda ukagundua mabadala wake ulio bora zaidi...usikate tamaa unaposhindwa...ni wazo zuri mkuu!

Simon Kitururu 8:45 am  

@Yasinta: Kweli tupu!

@Mkuu M3:Tatizo wengi ni wakati tamaa!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP