Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UTU UZIMA katika UJINGA labda unaweza kumsaidia MTU MZIMA kuwa MJINGA vizuri KIUTU UZIMA!

>> Sunday, April 24, 2011

Katika kusikilizia UJINGA,...

.... kunaathiriwa na nini kwako ni WEREVU na pia inasemekana   ni MPAKA ,...
...ni nini maisha yamewahikukufunza ufikiriavyo sio vya KIJINGA:-(Swali :
  • AU?


Ndio,...
....labda utu UZIMA kwa mtu MZIMA ni  moja ya msaada  katika UJINGA,...
... ili kijinga UJINGA ufanyike wakati kuna utu uzima ndani yake!:-(Swali:
  • AU?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !:-(

Hebu twende tena Trinidad & Tobago ili Gheto Flex na Denise Belfon warudie -Wine & BEND over


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 12:35 pm  

Aisee!! Mmmmh.

SIMON KITURURU 12:43 pm  

@Rasta Mcharia. Mmmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP