Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama furaha za Kigoli ZUBEDA zategemea AGNESS ndiye abadilike!

>> Friday, April 22, 2011

Kwa kuwa  YA WENGINE hatuwaachii WENGINE;....

..... labda  hufanya mpaka FURAHA ZETU zinategemea WENGINE!:-(



Na FURAHA ZANGU hata zile NDOGONDOGO zikihitaji MTU mwingine ndiye ABADILIKE,...
....ina maana labda  ya WENGINE  sijawaachia WENGINE!:-(




Swali:
  • SI unajua kuna watu kibao hawajitoshelezi wenyewe KIFURAHA na madai ni kwamba ni watu wengine na MITABIA YAO  ndio vinawaudhi?
  • SI kuna uwezekano AUDHIKAYE na ya WENGINE labda ni yeye mwenyewe ndiye ahitajiye KUBADILIKA?



Ndio,...
....``ilinifurahi NINGEPENDA KADODA ubadilike!´´´,...
.... yawezekana ni moja ya misimamo ya KADALA!:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ijumaa na WIKIENDI njema!




Hebu tupate zilipendwa kiduchu kutoka kwa FUNDI KONDE akija na jiwe-Waniuaua kipenzi



Daudi Kabaka aingilie kati kwa - Mlofa Mmoja





Daudi Kabaka aendeleze mashambulizi kwa - Msichana sura Nzuri




Kabla Jamhuri Jazz Band hawajamalizia kwa-Simba Mwituni

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP