Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIDUDE kutoka MBEYA YETU Blog!

>> Saturday, April 09, 2011

HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA

Habari njema kwa wasanii wote wa Miziki ya Aina zote Tanzania, Tanzania Online Internet Radio inawapa nafasi ya kutangaza nyimbo zenu popote Duniani Buree kabisa kupitia station namba moja ambayo ni online pekee hakuna Fm wala Frequency ni wakati wenu kutangaza Muziki wa kizazi kipya Dunia nzima karibuni sana nitumie wimbo kupitia Mbeyayetu@yahoo.com karibuni sana. Tumezingatia umuhimu wenu na kazi zenu Sikiliza Radio Live kupitia tovuti yetu juu ya tangazo la Vodacom.

Presenta:
Dj Sir Frenje (Fredy Njeje)
BASI ,...
HABARI NDIO HIYO,...... na kama BADO baada ya kupata HABARI HIYO bado HUNA aibu,...

... haya BASI kwa msaada wa ALICIA KEYS,...
... kwanza LIONE VILE!,....

.....kabla  Alicia Keys hajaanzisha TU tena  nyoko   -NO ONE
Alicia Keys , Kathleen Battle na Queen Latifah waendeleze kubenjua ndude kwa -Super Woman

Au tu Queen Latifah amalizie tu kuzibua choo kwa-U.N.I.T.Y


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP