Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Dambisa MOYO aongee....

>> Tuesday, April 26, 2011
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mwanasosholojia 3:00 pm  

Kichwa cha kujivunia Afrika

SIMON KITURURU 2:19 pm  

@Mwanasosholojia: SI utani!Ananiua sana mambo zake huyu Mdada!

Goodman Manyanya Phiri 4:24 am  

Kwa bahati mbaya kampyuta yangu imegoma siku hizi ki YOUTUBE sijui nifanye maandamano au nini!

Lakini pua lake Dambisa Moyo kama langu! Labda ni ndugu kabisa!

Jina lake kiboko (kwaKizulu "dambisa" maana yake "punguza")

Kwahiyo: "Punguza moyo wako, Dada.. Punguza mwendo!!!!" (LOL!!!)

Mcharia 1:31 pm  

SI MCHEZO

sikapundwa christian 11:15 am  

Ubarikiwe,kaza buti Saikolojia si utani,utaweza kuishi na kila mwanajamii bila wasiwasi,kulingana ja saikolojia zao.

'Thanks for joining to my Blog' na sema asante.

SIMON KITURURU 11:21 am  

@Rasta Mcharia: :-)

@Mkuu Sikapundwa Christian: Asante sana kwa kunitembelea! Kwako mie ni mwenyeji!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP