Amka!Anza UPYA!
>> Wednesday, April 13, 2011
Leo ndio LEO ,...
... na asemaye kesho huyo kesho ataigeuza MWAKA kesho!
Swali:
- AU?
Leo ni LEO!
FANYA hiii iwe spiriti ya kuingilia mambo leo ,...
... katika KUGOMBANIA KITU maishani hata kama hicho KITU ,...
....ni KIDUDE tu kwa WENGINE!:-(
Nisajesheni tu hii NGULI ,...
....katika kujaribu kupandishana mori ya kufanikisha LEO ,...
...kwa ambao wafikiriacho leo wakitiwa moyo labda WATAFANYA!:-(
Basi bwana hebu Profesa Jay abadili kwa kudinya pini-Zali la mentali
Nikusaidiaje- idinywe pia kistaarabu na Professor Jay
Au tupate ndude kibongo fleva kutoka kwa JUMA NATURE ibadilishayo ndude kidogo iitwayo -Hakuna kulala
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment