Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati nimeshaelimika -sasa kwangu unafikiri VITABU vya nini?

>> Wednesday, April 20, 2011

 Ndio,....
.... kama umeshaelimika ,...
... labda vitabu havina MPANGO aisee!:-(

Swali:
  • AU?


Ila tatizo ni kwamba ,...
..... labda hapa DUNIANI kuna waliowahi kupasi  tu MITIHANI,....
.... ingawa  hakuna BINADAMU aliyewahi KUELIMIKA   na ajuaye kila kitu,....
......hata kama ni HANITHI  na hapa tunaongelea ujuzi wa kujibaraguza sehemu za siri bado zina nguvu!:-(



Ni wazo tu hili MSOMI!:-(



Hebu tu Miles Davis atubadili WAZO nyoko hilo hapo juu hasa kama kwako majazz yanapanda na aendeleze kutunisha ndude kwa  -Call It Anything akiwa na kundi zima :
WASANII :
Miles Davis - Trumpet
Gary Bartz - Alto, Soprano saxes
Keith Jarrett - RMI ElectraPiano/organ
Chick Corea - Hohner Electra-Piano
Dave Holland - Bass
Jack DeJohnette - Drums
Airto Moreira - Percussion




Aendelee.....



Aendelee....



Amalizie hili Legendary performance at the Isle of Wight Festival, 1970. ...


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:47 am  

Nanukuu "Wakati nimeshaelimika -sasa kwangu unafikiri VITABU vya nini?" mwisho wa kunikuu... kama ni kweli ni vitabu vinazungumziwa hapa, basi nasema kusoma /kuelimika sio ndo kutupa vitabu....

Unknown 6:08 pm  

Mkazo wa kukazia kikazi ili kizazi kifuatacho kiwe na sehemu kilipogusa kitabu mawazoni katika maisha halisi.

Simon Kitururu 6:08 am  

@Yasinta:Mmmmh!
@Rasta Mcharia: SI ndio hapooo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP