Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Aku BABU WEE nikome mie mtoto wa watu na Mie sili kwako!- NDANI ya KUMBUKUMBU za MAISHA .:-(

>> Sunday, April 03, 2011

Nimewahi kupewa DOZI hiyo siku moja wakati katika kujipendekeza kuna kimwana aka KISHTOBE mmoja,...

.....enzi za KISHTOBE nibane kwa KUCHA akaona anipashe kitu!

Ila nashukuru baada ya kung'ang'ania sana,...
....ALIYENISUTA HIVO alinigawia baadaye NANIHII  ingawa wala haikunoga kama nilivyodhania na sina uhakika kama DHAMBI hiyo nimesamehewa kwa kuwa wakati nang'angania nigewe nilikuwa najua NING'ANG'ANIACHO ni dhambi!!:-(

Swali:
  • Umewahi kusutwa MHESHIMIWA?
  • SI unajua KUSUTA kuna staili zake na nafikiri ni moja ya SANAA ambayo inakufa siku hizi kwa kuwa haichukuliwi tena SIRIASI siku hizi hata na WASHAMBENGA ambao  enzi za kale wangekushikia na kukufunulia mpaka sketi wakati wanakupasha ushike adabu?
Ndio,....
.....labda,... wazo hili nni la KIJINGA na werevu wala wasingelianika kama MIMI hadharani!:-(Ni kumbukumbu tu hii ya yatokeayo ndani ya safari hii ya MAISHA Mheshimiwa!:-(
JUMAPILI njema MKUU!:-(

Hebu Bob Marley aanzishe upya kwa -Get up STAND up
Adinye -Heathen
Adinye-So Much Things To SayAtekenye-Burning and Looting
Au amalizie tu na-Running Away na Crazy Baldhead


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:59 pm  

Jumapili njema kwako pia Mtakatifu na naku-----

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP