Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Siku MAISHA yakileta MAANA,....

>> Sunday, April 17, 2011

....kuna VIDHANIWAVYO ni  vya MAANA,....
..... huweza kupoteza MAANA!:-(


Ni hilo tu ,...
... na hili ni WAZO TU!
Jumapili NJEMA!:-(


Mie Arifinto nikicheki kidude BUNGENI  kwa starehe zangu!

Hebu Bird York waingie dipu kwenye -In the DeepHebu na Stereophonics wadinye tu - Maybe Tomorrow

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 3:25 pm  

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Finally

SIMON KITURURU 3:38 pm  

@Rasta Mubelwa Bandio: :-)

Mcharia 6:28 pm  

Huyo MBUNGE!!!

SIMON KITURURU 7:10 pm  

@Mkuu Mcharia:- Wabunge ungechunguza wanafanya nini BUNGENI labda mbunge huyu aliyedakwa akiangalia nyeti anaweza kuoneka MLOKOLE aisee!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP