MAISHANI wakati kuna ya HUZUNI zikifanyika jitihada za kukumbuka ya FURAHA!
>> Wednesday, April 13, 2011
Maishani ,...
...NIKUMBUKE huzuni au FURAHA,....
.... inawezekana ikawa ni moja ya la mtu CHAGUO.:-(
Swali:
- Si tunaweza kuangalia MPAKA uwezekano huo?
Ndio,...
.... katika MAISHA kuna ya HUZUNI na ya FURAHA,...
.... ingawa kikumbukumbu MTU huweza kujikuta anakumbuka zaidi ya HUZUNI kuliko yale ya FURAHA!:-(Swali:
- AU?
Na labda jambo hili la watu kuwa NGULI wa KUBOBEA kwenye ya HUZUNI kikumbukumbu,....
...labda wala sio jambo la KUJITAKIA kwa kuwa kuna waaminio HUZUNI hazina STAREHE ZAKE hasa katika kuleta maana ya kitu MAISHANI ambacho labda hicho unaweza kujitakia .:-(
Swali:
- Kwani unauhakika kauwezekano hata kadogo kuwa LABDA akumbukacho MTU hakuna viasilimia ambavyo NIVYAKUJITAKIA kukumbuka tu HUZUNI kuliko FURAHA kwa ahuzunikaye ambaye labda akijifananisha na watu wengine mambo yake ni MSWANO tu?
Ndio ,...
....kuna wenye FURAHA kuliko mtu,....
.... mwenye ya KUFURAHIA kama ukifikiria!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu KOOL & the GANG waendelee kidogo kwa -Hi De Hi Hi De Ho
Au tu Professor Jay aingilie kati na kuweka nukta kwa - Hapo vipi
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmh! bado natafakari huu ujumbe wa leo..
Post a Comment