Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hakuna KIONGOZI wa NCHI au hata KIJIJI asiye na MPINZANI!

>> Tuesday, April 12, 2011

Ndio,...
... kila mtazamo wa MTU,....
... kuna AUPINGAYE,...
....kitu  kifanyacho ukiachia watu wawe HURU,....
..... hakuna awezaye KUKUBALIKA 100%.  :-(

Swali:

  • SI hata kwenye ya MUMGU bado kwa uhuru kuna wachaguao kukubali ya SHETANI?

Ndio,...
.... chochote UAMINICHO kina mpinzani,....
..... na AKUKOSOAYE ana AMKOSOAYE ,....
....na labda hilo ndio siri ya YA DUNIA kuendelea kuwa ya KIDUNIA.


Hebu twende South Africa ili Suthukazi Arosi arudie-VumaniAu tupitie Zambia ili Marsha Moyo arudie - Heavens Watching


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP