Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa sio KILA NDOTO ya WAJIKOJOLEAO inakumbukwa na WAOTAO na kujikojolea!:-(

>> Thursday, April 07, 2011

Ndio,...
... SI kila NDOTO inakumbuka na WAOTAO.:-(


Na kwa kuwa ,...
... kuna NDOTO NZURI ambazo nyingine hufanya mpaka waheshimiwa kupiga bao HUSAHAULIWA hata na kwa AJARIBUYE kuzikumbuka baada ya USINGIZI MNONO na kuamka,.....


  • Unakumbuka kuna WAOTAO wakiwa MACHO mchana kweupe PEEE labda hata wakati unawaongelesha na mpaka hata kuguna ukiongea-  kitu UFIKIRIACHO wanakukubalia uongeayo kwa kuwa  wanakusikiliza ?


  • Na si unakumbuka aliyeusingizini SIO lazima ni yule umuonaye na umdhaniaye ni ALIYELALA?


Ndio,....
.... kuna NDOTO hazikumbukwi na hata WALIOMACHO,....
.... na kwa kutokukumbukwa  kwa mpaka MAJINAMIZI;...
..... labda BINADAMU DAIMA  atarudia tu kuchezea MOTO!:-(



NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Hebu KAREN BRIGGS ambaye ni miongoni mwa wadada niwaheshimuo kwenye violin aingilie kati kwa kurudia-Gangsters' Paradise



Karen Briggs aende UGIRIKI kukutana na YANNI wakati sikio likilenga achezeavyo violin huyu mdada KAREN ngojea wadinye-Swept Away



Au tu L.V. aje tu na Coolio wavuruge tena wimbo wa Stevie Wonder na kuuita-Gangster's Paradise


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:52 am  

Duh! hapa kazi ipo:-(

Simon Kitururu 11:58 am  

@Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP