Mara NYINGINE hata kama mara ya kwanza WAKATI kitumbua kikutumbuliwa haikuwa TAMU!
>> Tuesday, April 26, 2011
Mara nyingine ,...
....ikijulikana ni MARA NYINGINE,....
......labda utamu wa mara nyingine unatokana ukweli kulikuwa na mara nyingine iliyofundisha mtu utamu wa CHUMVI ni mtamu kama CHUMVI mara ya kwanza.:-(Swali:
- AU?
Na mara NYINGINE kama inafikiriwa ni tamu,...
.... labda huo ni USHAHIDI kuwa MARA NYINGINE ilitanguliwa na MARA NYINGINE nyingine ambayo hata kwa mjanja ilikuwa ndio SHULE:-(
Swali:
- AU?
.....ilikuwa MPAPASAJI PAJA anaogopa hata kumgusa MHESHIMIWA kwa kuwa mpapasaji ANAHESHIMA,...
.... kumbuka tendo hilo labda BADO linaweza kuwa NDILO lililomrahisishia MPAPASAJI MWENYE AIBU kujisikia huru kirahisi MARA NYINGINE!:-(
Hebu LAGBAJA aingilie kati na kubadili wazo kimtuno kwa -Konko Below
Au tu LAGBAJA adinye tu na -Gragra
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment