Hongera sana MIDUME MIAFRIKA ambayo ni MIRAFIKI ya wake za WATU!
>> Saturday, April 16, 2011
Ndio,...
... inasemekana KIAFRIKA kuna mipaka kiumri,...
... kwa WATOTO wa kike kucheza na MITOTO yaKIUME.:-(
Swali:
Swali:
AU?
Na inasemekana,...
.... kabla ya kalenda kugundulika ilikuwa ni ukubwa wa CHUCHU za binti ndio kipimo cha MIVULANA kuchezacheza na WATOTO WA KIKE ,...
...hasa kwa kuwa maswala ya hedhi kama kipimo cha toto la kike laweza kutotoa KIAFRIKA ilikuwa siri ya WAMAMA!:-(Swali:
- Hivi kwani UAFRIKA ni nini hasa ukizingatia kuanzia MISRI , upare, mpaka AFRIKA kusini ya waishiyo huko mpaka yale ya kutairi vidude vya mabinti ni YA KIAFRIKA?
- SI unajua wakati unaongelea UTANZANIA wakati wewe ni MNDENGEREKO kunauwezekano uongeleacho ni UNDENGEREKO kwa kuwa kwa KIBENA u-TANZANIA huo hauaplai/ ziro mfanano?
Ndio ,....
.... HONGERA mkuu wa KIUME kama una RAFIKI mke wa mtu ambaye ni MWANAMKE ,....... hasa kwa kuwa nasikia siku hizi hata DUME NZIMA ZENYE MASHARUBU YENYE MVI zikizubaa huolewa,...
... kwa kuwa kama tu SAUDI ARABIA ,...
... KIAFRIKA nasikia si mchezo mzuri kwa KIDUME kilichopitisha miaka fulani kuchezacheza hata KIKUCHEKEANA TU na WAKE za watu kwa kuwa huo sio UAFRIKA!:-(
Swali:
- Kwani UAFRIKA ni nini?
- Na si UTANZANIA kama jina tu TANZANIA isemekanavyo walitunga watu wawili na kufanya sikuhizi mijitu mingi inajiita MITANZANIA si labda ni jambo la kutungiwa tu na WAJANJA hasa katika kukidhi hamu za watu za kuwa na kitu cha KUJITAMBULISHA wao ni nani?:-(
NI wazo tu hili lililopinda MHESHIMIWA ,...
.........na pata Big G -wala usikonde wala kunuka mdomo BINGWA!:-(
Hebu KROSFYAH wabadili ndude kwa kutunisha tena -Water Fall(wet me)
Krosfyah waendelee kudinya - Sak Passe
Au tu Jamesy P arudie kutumbua jipu yaishe kwa -Nookie
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hujatulia wewe.
@Muzee ya CHANGAMOTO:Utulivu kwani sio bahati tu za watu kikuzaliwa?:-(
Ninawaza "jamii" uliyokulia. Hivi jirani yako alikuwa nani?
Mwalimu je?
Idol wako?
Duh!!!!
@Papaa Mube:
Sasa nini JAMANI mpaka umenikumbusha ya jirani MAMA MZIMA ,...
....na mpaka mwalimu wa KEMIA moro seko Miss Stefano HASA WAKATI ANAFUTA UBAO ,....
....
....ambaye KUNA KIPINDI tamanio langu la sehemusehemu lilikuzwa SANA tu kwaajili ya UREMBO wao
Hew!!
@Rasta wa Zamani: Mcharia: Mmmmmh!
Post a Comment