Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wenye NGUVU ni wahimilio KUTOKUWA na nguvu !:-(

>> Wednesday, April 06, 2011

Kwa kuwa MAISHANI,....

...  kuna UPS and DOWNS aka kipindi MSWANO na kipindi mambo nishai,....
.....labda kipimo cha MWENYE NGUVU  ni uwezo wake wa kuendelea kuwa na NGUVU wakati  mambo NISHAI  aka wakati maishani yuko kwenye DOWNS.:-(

Swali:

  • SI unajua sio kila MTU yuko ngangari  kiakili au hata kiafya ya mwili  akiwa KIBANONI na ni wenye nguvu labda ndio sio wenye micheche mambo yasipokuwa shwari?
  • Unafikiri UNA nguvu?

Na kuna wadhaniwao wana NGUVU ambao ni fulu kupaniki wakiwa kibanoni,...
..... kitu kifanyacho kuwa labda tusubiri  kujua NGUVU za MTU  wakati inajulikana  MTU kikibano apatacho INGETAKIWA asiwe na NGUVU ,....
.... ili tujue nani ni mwenye NGUVU hasa ukizingatia NGUVU za mtu labda sio MISULI.:-(


Swali:
  • Si unajua hata kama kipimo ni KUDANGANYA labda  kinguvu za kuendelea kudanganya kila mtu ana kiwangotofauti cha  kuendeleza UONGO?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Lucky Dube abadili kwa kurudia- Different Colours


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP