Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Siri kubwa ya KUTOKURIDHIKA kwa bonge la JIKE au tu DUME,.....

>> Thursday, April 21, 2011

.... hujengwa na TEGEMEO lililorembwa  tayari AKILINI kabisa mwa hiyo MIMTU kabla ya,...
...TUKIO,
.... mtu...
....au  tu KITU....
.....  wakilengacho ILI kuridhika nacho.:-(
Swali:
  • Au?

Na kama HUJAREMBA kitu , MTU au tu tukio AKILINI,....
..... labda CHOCHOTE, lolote na YEYOTE  vinaridhisha tu MTU!:-(

Swali:
  • SI hata utamu kwa WALIOWENGI  ni jambo la kujifunza tu ndio maana CHAI isiyo na  SUKARI  kwa ATEGEMEAYE  isiwe na SUKARI kama CHAI YENYE SUKARI  kwa mpenda sukari  inaridhisha tu kisa TEGEMEO la mtu?

Ndio,...
.... labda kuridhika kwako kunategemea tu kwenye kitu UNATEGEMEA UPATE NINI,...
........ ingawa PIA na mwenye MAPENGO anaweza tu akawa anaridhisha  wapenda mwanya swafi tu!:-(


Ni wazo tu hili BINGWA!:-(

Hebu Bobby McFerrin na Richard Bona waanzishe vita upya....Hebu tu chini ya usimamizi wa Bobby McFerrin na Richard Bona vita iendelee....
Au tu Richard Bona amalizie tu shambulizi kwa - Eyando


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 6:04 am  

Duh!! Anayepiga bass "anakukuna"?
Mmmmhhhh!!!! Wa solo anafanyaje?
Ni wazo tu katika bonge la ujinga-busara wa kibwagizo cha DUH!

SIMON KITURURU 6:06 am  

@Rasta Bandio: Duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP