Kila siku usizo SAFIRI bado kuna WASAFIRI stendi!
>> Tuesday, April 12, 2011
Kwa kuwa ,...
....YA WATU WENGINE husahauliwa!
Unaweza kushangaa ni KWANINI kila siku wakati wewe husafiri,...
..... lakini stendi za mabasi zimejaa WASAFIRI wasafirio!:-(
Kwa kuwa,....
.....YA WENGINE husahaulika,...
.. MENGINE kwako ni MWIKO;....
.... hayo yapo na yanaendelea kufanyika kwa kuwa kwa wengine hayo hayana MIIKO!:-(
Swali:
- Umewahi kujiuliza WAKATI unajihami na YAKO ambayo hutaki DUNIA IYAJUE kuwa labda yanafanana tu na YA WENGINE kama YA WENGINE yasiposahauliwa na labda nayo yananafaitu zake hapa DUNIANI na ndio maana yapo?
Ndio,....
... kila siku usizo safiri kuna WASAFIRI wenye yao,....
... ingawa yanaweza kuwa yanafanana na YAKO !:-(
Ni wazo tu hili!:-(
Hebu Tupac na Scarface warudie - Smile
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment