Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MWIZI,...

>> Wednesday, April 27, 2011

...huiba aisee!


NI hilo tu MHESHIMIWA!
SIKU NJEMA!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:56 am  

Ndiyo mwizi huiba ...najikuta najiuliza kama kweli nipo nawe hapa au?...siku njema nawe...

Goodman Manyanya Phiri 1:16 am  

"Mwizi" ni alama wenye uwezo katika jamii wanaowapachika wale wasiokuwa na uwezo.

Katika dunia yenye haki hakutakuwepo mwizi!

Yasinta Ngonyani 1:42 am  

Lakini sidhani kama kuna sehemu/dunia yenye haki kwani sidhani kama kuna sehemu isiyo na WIZI... mfano juzi 23/4 kuamkia 24/3 binti yangu kaibiwa na baiskeli yake ambayo ilikuwa bado mpya kabisaaaaa.... wizi/mwizi

Faith S Hilary 5:42 am  

"Mimi sio mwizi oooh, sio mwizi..." nausaka huu wimbo kwa udi na uvumba japo sina (huo udi)wa John Mjema. Siku njema na wewe pia.

Simon Kitururu 2:18 pm  

@Yasinta: Uponami kabisaaa!

@Goodman:Tatizo Dunia yenye haki labda haikuwahi kuwepo hapa Ulimwenguni!:-(

@Yasinta:Mpe pole zangu Binti yako!

@Candy1:Huo wimbo wa John Mjema nafikiri sijawahi kuusikia!:-(

Unknown 1:13 pm  

Na kibaka JE??

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP