Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unatumia AKILI;...

>> Sunday, April 17, 2011

.... labda DINI hazileti MAANA kiakili AISEE!


Swali :
  • AU?


Na labda kama una AKILI,.....
....DINI labda ni kipimo cha AKILI aisee,...
... hasa kwa kuwa  KIIMANI  za DINI  labda AKILI inaweza kuwa ndio iondoayo govi kwenye DINI aisee!:-(NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu The DOORS waanzishe upya KIJUMAPILIJUMAPILI kwa kudai-I'm Horny, I'm Stoned


AU tu hebu Mouse T arudie silabas kwa - Horny

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:08 pm  

Kama unasmevyo mwenyewe :-Mmmhhh!

SIMON KITURURU 5:45 pm  

@Mrembo Yasinta: Mmmmmh!

Yasinta Ngonyani 5:50 pm  

No Comment!!!

SIMON KITURURU 5:52 pm  

@Yasinta: SI unajua ukiandika ``No comment´´ hiyo tayari ni Comment!


AU?

Yasinta Ngonyani 5:55 pm  

HAPANA NO COMMENT! Maana yake sitasema neno ingwa no comment ni maneno pia. Yaani maneno ya kufanyisha mada inoge...

Mcharia 7:04 pm  

KWANZA NANUKUU... hasa kwa kuwa KIIMANI za DINI labda AKILI inaweza kuwa ndio iondoayo govi kwenye DINI aisee!:-( MWISHO WA KUNUKUU.

Hivi umeunganishaje hapa.

SIMON KITURURU 7:09 pm  

@Mkuu Mcharia: Hata sijui Mkuu muungano umetokea wapi! Lakini si kwa aelewaye naongea nini labda ANAELEWA?:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP