Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NDOTO zako zote UOTAZO ungekuwa unazichukulia SIRIASI kama BABU wa LOLIONDO!

>> Sunday, April 03, 2011

Inasemekana,...
....WAHENGA hapo zamani za kale WALIJIFUNZA kuamini KILA NDOTO waotazo zina maana FULANI,....

..... na kuna WATU wajanja kama tu WATABIRI ambao walijipatia KAZI/ULAJI kwa kutafsiria watu NDOTO zao ZINAMAAANA gani.:-(

Swali:
  • Unadhani kama KILA MTU angejifunza KUAMINI AOTACHO -hufikiri kuwa mpaka LEO labda ungeshabaka MTUZ fulani ulizoziota mara kadhaa kwa kuwa maudhui ya ndoto yaliashiria HIZO mtuz zinakuzimia?

  • Si kuna WAOTAO kuwa wewe ni LIMPENZI lao na umeshawakubalia UNYUMBA kisa WEWE ni MZURI?


Ndio,....
.... LABDA kuna ambao wangeacha SHULE hata ya MAISHA kwa kuamini ni MAPROFESA wa KILA kitu kisa WAMEOTA kuwa WANAJUA KILA KITU .:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
....na LABDA kuna mpaka OMBAOMBA uwajuao ambao ushawahi kujifanya huwaoni na kopo lao wakati wanakuomba SHILINGI kadhaa uliokuwa nazo ambao kwenye ndoto zao ni MAMILIONEA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!:-(

Hebu Harry Enfield katika kubadili achokoze WANAWAKE kwa -Women, Don't DriveHarry Enfield abadili kwa kuigiza kiwezacho kutokea TOTO la KIUME likileta kwa mara ya kwanza bwana lake la kiume katika-Son's Boyfriend
Harry Enfield- SexistAu tu Chris Rock aongelee - Men and WomenBado niipo.......:-(0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP