Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UANAHARAKATI wa hata MWANAHARAKATI kwenye kupinga MIHOGO!

>> Monday, April 18, 2011

Mwanaharakati labda ,...

....usifanye harakati ndio zigeuko maisha yako,....
....hasa kama HARAKATI ujihusishazo nazo tayari zina MAJINA na aliyezitungia JINA sio wewe!:-(

Swali:
  • Ushastukia  kuwa HARAKATI za kitu kwa kawaida KAMA KITU TU  huisha na zikiisha kama NDIO KILETACHO MAANA MAISHANI MWAKO inaweza kufanya ukose cha kujioanisha nacho na kuua MSINGI mkuu MAISHANI mwako?

Ndio,...
...HARAKATI kama tu CHAMA cha TANU  na AFRO SHIRAZ  hapa Tanzania,...
.... vinamchezo wa KUEXIpaya aisee,...
... kwa hiyo labda ni ujanja kujioanisha na KIZALISHACHO harakati,...
.... kuliko kujihusisha na HARAKATI zenyewe zenye MAJINA!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu The Golden Gate Quartet warudie tu -Jezebel



Au tu The Golden Gate Quartet warudie tu na -Down By The Riverside




Au tu Mbaraka Mwinshehe Mwaruka abadili tu kwa -Mashemeji Wangapi

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP