Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hatua ya PILI,....

>> Thursday, April 28, 2011

... labda ilianzishiwa nguvu na HATUA ya KWANZA!

ILA kiletacho MATUMAINI ni kuwa hata kwenye HATUA ya TATU maishani,....
... inaweza kuwa bado MTU hajachelewa KUBADILI anakoelekea!

Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... labda HATUA ya NNE ,...
.... inaweza kuwa  ni mwanzo pia wa SAFARI MPYA,....
.....ya mtu kuelekea upande tofauti na ule aliokuwa anaelekea wakati anapiga hatua ya KWANZA!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Au tu hebu FRANCO amsifie tena Rais MAARUFU sana AFRIKA katika MARAIS tokea kabla wengine AFRIKA hawajastukia utamu wa kuwa FISADI katika ndude-Candidat Na Biso Mobutu


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 3:48 am  

Hapo umemgusa Mzee Kijana!!

Kila hatua ni hatua ya kwanza tena ya ujana wako kabisa... hata ukiwa mzee mie mwenye magoti ya kuumia!


Hata magoti ya kiumia, yanaumizwa na ile EXPERIENCE ambayo mtoto mdogo hana (pengine hatapata mpaka kaburini kutokana na tabia ya kurukaruka hovyo kama vile vijana wanavyopenda kufanya).

Kifupi: NAAM, MKUU KITURURU. SISI WATU WAZIMA TUWE TAYARI KUJIFUNZA NA KUJIREKEBISHA MWENENDO KWA WAKATI WOWOTE ULE. UZEE SIYO MALI YA KURINGA AU KUKINGA ILI WENGINE WASIPATE, BALI NI MALI TUNAYOTAKIWA TUWEKE WAZI ILI WATOTO WAJIFUNZE KWETU NA WATAJIFUNZA VIZURI WAKIPEWA FURSA YA KUWAKOSOA WAZEE IKIBIDI (NAO WAZEE WAWE TAYARI KUJIREKEBISHA KAMA VILE NDIO HATUA YAO YA KWANZA MAISHANI).

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP