Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa KUTOSEMA KITU mtu AFIKIRIACHO yasemekana iko kwenye FASHENI katika JAMII!

>> Tuesday, April 12, 2011

Asichosema MTU  hadharani,....
... au kisichofahamika kitu kuhusu MTU hadharani kwa kawaida siku hizi ndio misingi ya KUHESHIMIWA kwa MTU,...

... na kwa hiyo kwa ukaavyo kimya ndivyo  waweza kuwa unastawisha KUHESHIMIWA katika JAMII!

Swali:
  • AU?
  • SI  kwa kukaa kimya ili ya MTU yasijulikane ndio moja ya KIFANYACHO kuna wadhaniwao ni WATU WAZURI kwa kuwa /kisa wako kimya?

  • Si WACHAWI  kwa kukaa kimya sio WACHAWI katika jicho la jamii?


Ndio,...
.... labda MTU kusema anachofikiria haikubaliki siku hizi  katika JAMII,....
.... hasa kwa kuwa JAMII imegeuza asichosema MTU  na KISICHOJULIKANA KUHUSU MTU kuwa  ndio moja  ya KIGEZO cha ajulikanavyo/atambulikavyo MTU MZURI  kwenye jamii!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


 

Hebu twende UGANDA ili Afrigo Band warudie - AsanteAu tu Afrigo Band warudie pia pini - Sirina Reverse

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP