Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HEBU tuburudike KIDOGO kwa kumdeku MAKAMU wa RAIS akilala wakati RAIS anahutubia!

>> Friday, April 15, 2011

Kitu cha kimataifa hiki,...
... cha kulala wakati bosi anahutubia mambojambo!

Swali:

  • AU?


Deku mwenyewe.....3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 10:39 am  

Dah!!!

...ila usingizi bwana ni kama kikohozi, hakiwezi fichama.

Na usikute hapo aliona hadi ndoto, na ndio ukute aliota anampiga Rais huyo huyo anayehutubia.

Si unafahamu hesshima ya ndoto suingzinieee.

Malkiory Matiya 11:32 am  

Naona hakuwa pekee yake, kuna mdada mweusi kwa nyuma yake naye alikuwa mshirika japo wa kwake hakuwa mnono kama wa makamu wa rais!

SIMON KITURURU 7:19 pm  

@Mkuu Mcharia: :-)

@Mkuu M.W.M: Unajua nilikuwa sijamstukia Mdada huyo!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP