Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama ladha yako ya MIZIKI haifanani na ya MIZIKI ambayo iko kwenye fasheni SIKU HIZI,....

>> Tuesday, April 19, 2011

.... ina MAANA umekua wewe!:-(Swali:
  • AU?

Ndio,....
.....labda moja ya kipimo UMEKUA,...
.....ni pale ukianza kuwa na stori za kwanini MIZIKI ya siku hizi ni makelele na ya zamani ni poa zaidi!:-(

Na kama ni mtoto na unatesti/LADHA  ya miziki ya kikubwa,...
.... labda  una roho ya kikubwa  WEWE  aka old soul,....
...ila umri wako tu ndio  MDOGO weye!NI wazo tu hili MHESHIMIWA!
Siku njema MKUU!


Hebu Soul Brothers warudie-BAZOBUYASOUL BROTHERS warudie - AKABONGI


Au tu Soul Brothers wamalizie kwa- Intokazi


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP