Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la kutibu MATATIZO kwa pombe,....

>> Wednesday, April 20, 2011

....... kilaji kikiondoka akilini MATATIZO hubakia  palepale!:-(

Swali:
  • Si hilo hukumbukwa?
Na tatizo la kutibu matatizo kwa KULA,....
......kwa bahati mbaya njaa inamchezo wa kujirudiarudia na ALIYEKULA atasikia tu tena njaa hata kama matatizo hayako palepale!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu tusikilize kidogo matatizo ya wengine....

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 1:18 am  

Nakuunga mkono kaka Kitururu umenena wangu!!!!!!!

SIMON KITURURU 6:10 am  

@Dada Rachel: Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP