Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa BAHATI MBAYA duniani labda hakuna aliyewahi kufuta UJINGA!:-(

>> Friday, April 08, 2011

Kuna wasifiwao au hata kujisifia kwa kuwa wameenda SHULE na kupata mivyeti LUKUKI,...

.... basi inadhaniwa  WAMEFUTA ujinga.:-(

Swali:

  • AU?

Lakini kama MAISHANI kila siku ni SHULE ya kitu fulani,....
.... ukweli hubakia palepale kuwa  kama kuna ALIYE HAI  ,...
... huyo hajafuta UJINGA na labda kuna uwezekano kuwa hasa kwa kwenda SHULE,...
... ndio moja ya CHANZO chake kipya cha angalau aina nyingine ya UJINGA hata kama ni kwa mtazamo tu wake ambao kwa aitacho ni KUELIMIKA hufanya awe kipofu kwa mambo  mengine ambayo yanapofuliwa staili ya kuyaona na ELIMU  na kusababisha MSOMI azidi kuwa MJINGA!:-(

Swali:
  • SI labda nisemacho kina ukweli?:-(

Ndio,...
.... na aliye MAISHANI na aliyefuta kabisa UJINGA na hana kabisa chakujifunza tena MAISHANI ,...
... na anyoshe KIDOLE!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu mdada Rokia Traoré aanzishe...
Rokia Traoré kiadoado atupe clips za akiwa kazini anadinya....


Adinye tu ...
Au aje tu ROKIA Traoré na Youssou N'Dour wamalizie tu kwa-Birima


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP