Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mie kama KIONGOZI naapa kuendeleza UFISADI , umasikini , MAGONJWA na ikiwezekana hata USHIRIKINA na UJINGA kwa sana TU katika nchi hii nzuri TANZANIA!

>> Monday, April 11, 2011

Ujanja kwa KIONGOZI AFRIKA ,...
....inasemekana ni kulia OFISINI bwana!

Swali:
  • Kwani hata kivitendo hujastukia hilo?
Na hakuna kisaidiacho  ulaji wa MAFISADI  kama magonjwa yafanyayo mpaka  WAJANJA  waonekane kama ..... ,
..... UMASIKINI ufanyao VIONGOZI matajiri kwa utajiri tu waonekane na baadhi ya MASIKINI kuwa ni wenye AKILI murua,....
....ushirikina ufanyavyo waheshimiwa  WAHESHIMIWE  na  wafanye vitu KIJINGA kama,......
....na labda  mpaka kuwa   ni kweli DUNIANI kutokana na VIONGOZI WADHANIWAO ni WEREVU  kwa hilo kuhadaa mpaka hata WAJINGA kama mimi SIMON KITURURU  ku.......


Swali:
  • Kwani wewe kama KIONGOZI ufaidikaye na udhoofu wa WATU kiujinga au tu MAGONJWA , usingependa kuwa hata kwa wasio wasenge kuwa ni WAGONJWA au WAJINGA kiasi kwamba hata ukigusa tu kidogo katika kutekenya ndude kama tu BABU wa LOLIONDO wanatekenyeka?:-(
  • Kwani unafikiri HUCHANGII angalau uwepo wa rushwa KIVYAKO  na TANZANIA  ingekuwa inalipa ilivyo sasa hivi KWAKO labda usingekuwa unataka ibadilike ili wajanja waongezeke na kusababisha ulaji kilaini uwe MGUMU?
Ndio,...
.....DUNIANI  kama kuna wajitahidio kuamini wao ni werevu na sio WAJINGA,...

.... labda huo ni ushahidi DUNIANI kuna WAJINGA na ya KIJINGA pia lakini!:-(


Swali:
  • AU?
Na labda ungekuwa KIONGOZI ufaidikaye sasa hivi TANZANIA,...
... labda ungeelewa nini  ni TAMU,...
....ifanyayo  VIBOSILE ambao ni fulu KUFAIDI,....
....wasione makorongo kwenye barabara upitazo  ni TAMU kikongorongo,...
... kitu ambacho hapa nabunia tu kwa kuwa mie natokea kwenye tabaka zisizo na TAMU hizo  za watawala na  fujo hii yote ni ,....
...mie AYAMU JUST sayin'Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu TUCHEZE tu  na ndude kwa msaada wa Jimmy Cliff tena  akirudia- Many rivers to crossAU tu LENNY KRAVITZ ajaribu kurudia MDINYO wa Jimmy CLiff huohuo....
Au tu tumpe chansi Ali Campbell ajaribu naye kurudia ndude ya Jimmy Cliff aliyoiandika na kuidinya mara ya kwanza ambayo ni .........


8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 3:48 pm  

Hiyo ahadi mkuu, ipo siku utaikumbuka, kwasababu....mh, cha mtu mavi! Na haki ya mtu haipotei bure...!

isaackin 4:19 pm  
This comment has been removed by the author.
Anonymous 4:23 pm  

siku hizi hawa watu mafisi na chama lao wanatuona mabwege tu,na tunaongea sana.juzi tu yule mzee punda wa kulialia kaenda kuzindua zimamoto bajaj na tumbo lake kama pakacha.we ngoja tu iko siku yao hawa

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 5:03 pm  

Mtakatifu, ulishawahi kuisoma hadithi moja ya Kezilahabi inaitwa "Mayai Waziri wa Maradhi?"

Ina mambo kama haya haya unayoyaengelea hapa: Wizara ya Maradhi, wizara ya umasikini n.k...Itafute uisome na kwa kuwa Kezilahabi ni mwanafalsa mwenzako bila shaka utaifurahia sana !!!

Anonymous 8:37 pm  

What the hell is going on? And why? Why? Why?

Anonymous 8:48 pm  

Coul you please switch on your phone? Have been trying to call for hours :-( :-( :-(

Anonymous 8:49 pm  

If you think this is funny, you are so wrong :-(

SIMON KITURURU 12:52 pm  

@Mkuu M3:DUh! Siku nikiamua kuwa mwanasiasa nafikiri ntakuwa nishaua kitu!


Ila nachojaribu kuangali katika hoja ambayo niliiandika haraka haraka kutokana na kusikia mtu mmoja akisema haki ya nani kama wewe fisadi na mazingira ya sasa yanakufaidisha labda ni ujinga kubadili mfumo!


@Anony: SI ndio hapoo!
@Mkuu Masangu:Sikuwahi isoma hiyo. Ntaitafuta.

@Anony: Sorry that I wasnt connected for the weekend !Try again to reach me .... I'm back on air! Sorry again ! Never knew I am tha needed!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP