Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama ishawahi kukutokea MOYO na AKILI vinabishana UAMUE NINI!

>> Tuesday, April 26, 2011

Kuna MAAMUZI yatumiayo MOYO,....
.... ambayo ukitumia AKILI labda usingeamua hivyo!

Na moja ya kitu ambacho kama unatumia AKILI badala ya MOYO labda hujadakwa vizuri,...
... ni mambo yale yahusuyo,..

...NI NANI UNAMPENDA!:-(


Swali:
  • Au?
  • Si MOYO ukipenda maamuzi yako yanaweza kumchagua MPENZI ambaye ungetumia AKILI kuchagua labda ungemkwepa kwa kuwa ni AROSTO halafu ana bonge za MWANYA kama mfereji wa MAJI machafu?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Ambelique arudie - Penny Lover


AU tu Ambelique aongezee doz i kwa - New Sheriff In Town

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 4:15 am  

Wanaume sisi ndio wenye suali kama hilo!

Dada zetu hawana mjadala kama huo ("nitumie ubongo wa kushoto au wa kulia?"). Moyo na akili za akina mama daima zinakwenda pamoja.

Ndio maana mimi naamini wanamama ndio wenye akili kutuzidi sisi wanume. Tatizo lao kubwa (dada zetu) ni kwamba HAWANA ILE NIDHAMU ALIYENAYO MWANAUME!

Soma zaidihttp://www.sunrisepage.com/library/gender.htm

Unknown 1:27 pm  

Ina maana ndio tunajifunza kuwa maamuzi ya akili na mamuuzi ya moyo ni tofauti?

N A W A Z A.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP