Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Utamu wa UYOGA ukianza kufananaFANANA na UTAMU wa NYAMA YA KUKU,...

>> Saturday, April 16, 2011

......ujue akionjacho mtu kwenye rojorojo  LABDA  ni VIUNGO vya MBOGA ,....
.... na wala sio tena KUKU wala UYOGA kama iitwavyo mboga!

Swali:
  • Hujawahi kuonja mboga yenye jina tofauti na PILIPILI wakati  ujualo pilipili ni kiungo tu cha mboga- na UKASTUKIA ladha yake MBOGA  ni PILIPILI TUPU  na wala hakuna hata ladha ya rojo ya maini ya bata kwenye MAINI ambayo uliyaagizia kama MBOGA?

Ndio,....
.... ukichunguza wasifiao UGALI mzuri,...
..... unaweza kustukia wasifiacho LABDA  ni MBOGA,....
..... kama tu ukichunguza  WAKATI wasifiao FAMILIA nzuri ya jirani ,...
.... na  ukastushwa  kwa kustukia kifanyacho wasifie familia nzima labda ni MKE mzuri kiurembo KWA KUWA NIMREMBO wa sura na TITI ,...
.....au tu binti yao YULE mlokole mwenye BONGE LA MWANYA murua  ambaye kwa matako ni MREMBO!:-(


Swali:
  • AU?

Tukiachana na hilo,...
... ndio kwa juhudi ya kimapishi ,...
..... na kwa msaada wa vikorombwezo VINGINE  vya waungavyo MBOGA,....
..... NYAMA ya KUKU na UYOGA vinaweza kufanana UTAMU aisee!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu GhettoFlex na Denise Belfon waanzishe upya kwa - Wine Bend Over





Hebu The Kilimanjaro Band watulize ngoma kwa - Kinyau nyau



AU tu Michael Jackson atekenye tu swala kwa -Don't Stop 'Til You Get Enough


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 4:03 pm  

Toba!!

Simon Kitururu 6:13 pm  

@Papaa Mubelwa: Nini jamani mkubwa? !!!

Mzee wa Changamoto 3:28 pm  

Nime"tobeka" tu mkuu.
Labda NIMEPENDA. Labda....
Mmmmmmhhh!!!

Simon Kitururu 7:13 pm  

@Rasta Mubelwa: Mmmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP