Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika uhusiano wa PUA na HARUFU,....

>> Sunday, April 24, 2011

.... labda ,...
....kirukwacho ni kiunganishacho urafiki wa  PUA na HARUFU,...
.... ambacho inawezekana ni KIKWAPA cha MHESHIMIWA au  tu MAVI!:-(



Swali:
  • SI  PUA na HARUFU umuhimu mmoja wake  wa hivyo VIDUDE labda unahitaji kitu cha tatu  ambacho kirahisi tu kinaweza kurukwa?

Ni wazo tu hili Mheshimiwa!:-(

Hebu kimbadilisho wa wazo lililokaa uchi hapo juu Gregory Isaacs aanzishe vita upya kwa-My ONLY lover




AU tu huyuhuyu  Gregory Isaacs adinye TU pia- Cool DOWN the PACE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP