Hivi si ADAM LUSEKELO alikuwa anaandikia watu kwa KIINGEREZA?
>> Friday, April 22, 2011
.........na waongea KIINGEREZA mpaka kununua MAGAZETI ya KIMOMBO si zaidi ni wenye uhusiano na MAFISADI kwa hiyo alikuwa ni DANGANYA TOTO TANZANIA hasa kwa wamsifiao wasio MAFISADI?
TANZANIA -si ni wale tabaka FULANI ambalo ni la walalahoi inabidi NDILO mafisadi liwafurumushe kwenye UONGOZI wa nchi kwa kuwa wakosoa wajuao lugha KIUINGEREZA kama akina FREDY MACHA, na wengine wote waliokaa kibeberu WAKO kikondoo kama Jenerali ULIMWENGU au MWANAKIJIJI aropokaye wakati yuko UGHAIBUNI ,...
... au YONA MARO aanzishaye WANABIDIII wakati WANABIDII yenyewe ni chombo cha CCM ili kujua nini na nani anaongea wakati YONA ndio mtunza hazina za waongeao HOVYO /Snitch in Control kwenye wanabidii yake ituzayo ya CCM na kuhusu CCM ili waliondumila kuwili wasije ruhusiwa kupata ulaji,...
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kitururu; hata hapa Suomi ambapo lugha yao ndiyo priority lakini kuna watu bado wanawapeleka watoto wao english medium schools. Hatuna jinsi ya kukwepa kiingereza hadi pale serikali itakaweka mambo sawa kuchagua kiswahili kama lugha ya kufundisha kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Zaidi ya hapo tutaendelea kupoteza wakati kulalamika.
mkuu leo umenigusa sana na hayo mambo
Eti kwa miaka yoooote hiyo iliyopita sasa hivi ndio watu wanaistukia hiyo KITU.
Tulikuwa wapi?
Tangu Mwinyi,Mkapa.
Post a Comment